MAFUNZO YA BROCHURE DESIGN KWA KUTUMIA ADOBE PHOTOSHOP
Brochure ni kipeperushi ambacho kinakuwa na pande mbili, tatu, nne, sita au nane kutegemea na muundo ambao anahitaji muhusika lakini maarufu zaidi ni Vipeperushi mkunjo vya pande tatu (Trifold brochure). Vipeperushi mkunjo hutumika kutangaza bidhaa, kampuni, events au elimu kuhusu jambo fulani ambalo wahusika wanalikusudia. Karibu Katika Mafunzo haya ya Brochure design kwa kutumia program…