COMPANY PROFILE DESIGN KWA KUTUMIA ADOBE PHOTOSHOP
Company Profile ni kitabu au jaribu la kampuni au Biashara ambalo linaandikwa taarifa zinazohusiana na kampuni husika kama vile historia ya kampuni, timu iliyopo kwenye kampuni, projects za kampuni, Dira na Malengo ya kampuni, mawasiliano ya kampuni, utambulisho, huduma zinazotolewa na kampuni pamoja na shuhuda mbalimbali za kampuni. Ukijiunga na mafunzo haya Utajifunza namna ya…