MAFUNZO YA ADOBE XD (USER INTERFACE DESIGN)
Adobe XD ni software inayotumika kufanyia User interface Design kwenye kompyuta (yaani muonekano wa application ule kama vile application ya WhatsApp au Websites ule muonekano wake unakupa access ya kubonyeza sehemu na kufanya kitendo fulani). Ni program inayotumika Duniani kote na ni industry standard software kwa kufanyia design ya Mobile Application, website Design interfaces zake…